Search

220 results for Happiness Tesha :

  1. Huu hapa ujumbe wa Pasaka wa viongozi wa dini, waamini

    "Yesu ameleta amani, ujumbe wa amani uendelezwe mahali pote ili nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla pawe mahali pa amani, ujumbe wa Yesu alipofufuka ni amani kwa watu wote kwa kusema amani iwe nawe.

  2. Tanroads Kigoma yatoa maelezo mipasuko mikubwa kwenye barabara

    Choma amesema Tanroads tangu Februari 24, 2024 walipewa taarifa na mkandarasi mshauri, Kampuni ya Sila kutoka nchini Mali ikishirikiana na Kampuni ya Kitanzania ya Nibu, kwamba wameanza kuona...

  3. Mvua yaathiri shughuli mwalo wa Kibirizi mkoani Kigoma

    Mvua zinazoendelea maeneo mbalimbali mkoani hapa zimesababisha maji kujaa kwenye mwalo na kuharibu miundombinu ya bandari ndogo ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.

  4. Kliniki migogoro ya ardhi yatatua 29

    Kliniki ya kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji iliyoanzishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli imezaa matunda baada ya kufanikisha utatuzi wa migogoro...

  5. Mganga wa kienyeji atupwa jela maisha kwa ubakaji

    Shahidi aeleza kwamba mtuhumiwa alifanya kitendo hicho huku mdogo wa mtoto huyo akiona

  6. Adaiwa kumnyonga mkewe, naye ajinyonga

    Kisa kinatajwa kuwa ni hatua ya mke kumtuhumu mumewe kuuza vitu vya ndani, kikiwamo chakula

  7. DC Kigoma aunda kamati kuchunguza athari kuungua soko la mitumba

    Jumla ya vibanda 148 kati ya 700 vimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia Februari 10, 2024, saa saba usiku, huku chanzo cha moto kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

  8. Vibanda 148 vyateketea kwa moto, Soko la Mitumba Kigoma

    Amesema vibanda hivyo vinaanzia block A hadi J na sehemu iliyoathirika zaidi ni eneo la block J ambayo ina jumla ya vibanda 148, kati ya hivyo 111 vilikuwa na bidhaa na vingine 37 vilikuwa...

  9. Wananchi Katubuka hatarini kupata magonjwa ya mlipuko

    Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa nyama ya nguruwe wamesema pamoja na kuhamia upande wa pili kuyakwepa maji, lakini yanatoa harufu na kuhofia...

    New Content Item (1)
  10. Mvua yaleta maafa Kigoma, nyumba 60 zazingirwa maji

    Nyumba 60 za makazi ya watu na barabara ya Katubuka kwenda Uwanja wa Ndege katika Kata ya Katubuka, Manispaa ya Kigoma Ujiji zimezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Page 1 of 22

Next